Saturday, June 16, 2012

DRAKE NA CHRIS BROWN WAZICHAPA KISA RIHANNA

                                               chris brown
                                                 drake
                              hapo ndo chris alipokatwa hapo
                         ..
        Exclusive udaku.. Drake na Chris Brown walikua club moja..VIP... meza tofauti tofauti... Chris akatuma sijui champagne/bottle kwenda kwenye meza ya drake ili kama alama ya peace (maana wote wanajua Drake alikua na riri baada ya Chris Brown...hivyo walikua na kabifu kiaina)..anyway, eti Drake baada ya kuona ile bottle kutoka kwa CB akatuma ujumbe wa matusi kwa Chris...then yeye na group lake likaenda meza ya CB ...then upande wa drake wakarusha chupa kwa CB na group lake...kuna watu wameumia.... hivyo ishu bado inaendelea maana police walihusishwa na watu walioumia naona wameshitaki police.rihanna your just one luck gal

No comments:

Post a Comment