Saturday, June 9, 2012

Bob Makani Afariki dunia

  Aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Mohamed Nyanga naejuliana sana kwa jina la Bob Makani , amefariki jana. 
                                           Marehemu Bob Makani
 Inasemekana chanzo cha kifo, ni kuugua kwa muda mrefu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amen

No comments:

Post a Comment