Saturday, June 30, 2012

Seedorf chooses Botafogo


Clarence Seedorf accepted the contract offer by Botafogo, making him the highest paid foreigner in Brazil. The move to the South america was imminent after months of speculation linking Seedorf to a South American club. The signature of the player was confirmed by Botafogo themselves on their website, by stating that they have captured the 36-year old. He has signed for 2 years. He had spent 10 years with Milan, winning 2 Serie A, and also 2 Champions Leagues.

Happy Canada Day!

Happy Canada Day! Since one of my besties is Canadian, I decided to make a Canada Day design. I had to make sure I included the iconic maple leaf, but everything else was just a red and white party. I used Confetti The Red Capet, Konad white, and Spoiled Shuffle the Deck.






Jamaica's brilliant London preview!

It was not London, but we watched Olympic excellence at Jamaica's National Stadium last night.  We shouted, stomped and cheered as we watched a galaxy of Jamaican stars running their hearts out to represent our beloved country at the London Olympics.

Here are the stars and their times yesterday - photos and reports from the Gleaner and Observer websites - www.jamaica-gleaner.com and www.jamaicaobserver.com.

  1. Yohan Blake - 9.75 seconds(s)
  2. Usain Bolt - 9.86 s
  3. Asafa Powell - 9.88 s
1. Shelly-Ann Fraser-Pryce - 10.70 secs -  national record.
2. Veronica Campbell-Brown - 10.82 s
3. Kerron Stewart 10.94 s

Shelly-Ann Fraser-Pryce
"SHELLY-ANN Fraser Pryce's majestic National Record of 10.70 seconds, set while winning the 100m title at the JAAA/Supreme Ventures National senior championships at the National Stadium on Friday night, has vaulted her further up into the pantheons of the best ever to have run the event.
In lowering her personal best from the previous 10.73 seconds, the pint-sized rocket vaulted France’s Christine Aaron, into fourth place behind three Americans.
The late Florence Griffith Joyner (Flo Jo) leads the pack with her World Record 10.49 seconds followed by Carmelita Jeter’s 10.64 seconds and Marion Jones’ 10.65 seconds set at altitude in Johannesburg, South Africa in 1998."
Yohan Blake

"NEW Jamaican senior men’s 100m champion Yohan Blake, says he is “over the moon” with his win and new personal best 9.75 seconds set on Friday’s second day of the JAAA/Supreme Ventures National Senior Championships after he got the best of a crack field including training partner and World Record holder Usain Bolt.

"Oh my God, I am over the moon," he said as he erased Bolt’s previous stadium record 9.76 seconds and said his training partner had been encouraging him over the years.
“Usain Bolt has been motivating me and telling me I can do it” he said."

Bolt in Beijing (China Daily)
From André Lowe, Senior Staff Reporter - Gleaner:


"THE TRACK and field world was treated to a feast of fine sprinting as World champion Yohan Blake continued to rubber-stamp his threat to 100m dominance while Olympic champion Shelly-Ann Fraser-Pryce showed her class to take the women's equivalent at the JAAA/Supreme Ventures Limited National Senior Championships.
Usain Bolt is not used to standing on the silver medal podium, but that's exactly where he was during the 100m medal ceremony last night inside the National Stadium, as Blake produced the run of his life, to win in a stadium-record 9.75 and, in the process, hand his training partner his first-ever 100m loss in Jamaica. Blake's time was also a new personal best and the fastest time recorded this year.
Media representatives were denied the opportunity to speak to Blake, who is expected to also feature in today's 200m rounds but Bolt, who, like he has been throughout these trials, was left in the blocks, described the eventualities as "one of those things".
"For me to get left in the blocks was really bad, but it's just one of those things," said a disappointed Bolt, who was clocked at 9.86. "In the semi-finals, the lane seven guy moved and it threw me off and I kept seeing him in my peripheral, so that threw me off.
"In the final, I got left and in a quality field like this, it is difficult to get back," Bolt added.
Asafa Powell winning his 100m semi-final (Gleaner photo)
Impressive run from Powell
Asafa Powell, 9.88, who came into the day with a groin issue and complained that it was sore after his semi-final two hours before the final, produced an impressive run to finish in third place and secure the final individual spot to the Olympic Games. Powell had to receive medical attention after the race and was also unavailable for comment.
Fraser-Pryce showed that her finish is just as good as her start, leading from start to finish in the female event with a blistering 10.70 - a national record.
Veronica Campbell-Brown
Veronica Campbell-Brown was second in 10.82, with Kerron Stewart third in 10.94.
Fraser-Pryce was ecstatic that she was able to break the national record in front of her home support.
"I have to thank God and my coach (Stephen Francis); what a phenomenal person he is, he believes in us even when we don't believe in ourselves, and I am excited about breaking the national record here in Jamaica. That is something I am excited about," said Fraser-Pryce."
- andre.lowe@gleanerjm.com

MBEYA UPDATE: SUPER J NA NEYLEE WASHINDA







Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 "Bhaasi" Sebastian Maganga akiwapongeza washindi wa Serengeti  Fiesta Super Nyota Super J. kulia na Neylee, mara baada ya wasanii hao  kuibuka washindi katika shindano hilo lililofanyika usiku huu kwenye klabu ya Vibes jijini Mbeya, wasanii hawa watauwakilisha mkoa wa Mbeya katika matamasha mbalimbali ya Serengeti Fiesta mikoani

TANZANIA FOOTBALL NEWS: PIUS KISAMBALE SASA COASTAL UNION

Klabu ya Coastal Union imeendeleza balaa kwenye usajili, baada ya juzi kumsainisha kiungo Pius Kisambale kutoka Yanga, Klabu hiyo imemsainisha mchezaji Othman Omary kutoka timu ya Taifa ya Zanzibar aliyekuwa akiichezea klabu ya wanajeshi ya JKT Oljoro.

TANZANIA FOOTBALL NEWS: YANGA YAIBAMIZA EXPRESS YA UGANDA 2-1

Mechi kati ya Yanga na Express ya Uganda, Yanga wameshinda magoli 2-1, mabao yote yakitiwa kimiani na Jerry Tegete kipindi cha kwanza. Katika kipindi cha kwanza Yanga ilitawala mchezo kwa asilimia 60 dhidi ya Express hata hivyo katika kipindi cha pili mambo yamebadilika ambapo timu ya Express ya Uganda imefanikiwa kupata goli moja la kufutia machozi na kufanya matokeo kubaki hayohayo 2-1.



Kikosi kilichoanza Yanga, kutoka kulia waliosimama Ally Mustafa 'Barthez', Athumani Iddi 'Chuji', Said Bahanuzi, Oscar Joshua, Jerry Tegete na Nizar Khalfan. Walioinama kutoka kulia ni Kelvin Yondan, Nadir Cannavaro, Juma Abdul, Frank Damayo na Simon Msuva. 

TANZANIA SOCIAL NEWS: UTABIRI WA HALI YA HEWA NYANDA ZA JUU KUSINI

Rukwa Weather: Partly cloudy conditions and sunny periods. Min. Temp.: 12°C Max. Temp.: 23°C Sunrise: 07:08 Sunset: 18:47

Mbeya Weather: Partly cloudy conditions and sunny periods. Min. Temp.: 4°C Max. Temp.: 23°C Sunrise: 07:03 Sunset: 18:37

TANZANIA FOOTBALL NEWS: IRINGA YAZINDUKA COPA COCA-COLA

Iringa imezinduka kwenye michuano ya Copa Coca-Cola baada ya leo asubuhi (Juni 30 mwaka huu) kuifunga Kaskazini Pemba mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Nyumbu mkoani Pwani.
 
Hadi dakika 45 za kwanza za mechi hiyo ya kundi B zinamalizika matokeo yalikuwa suluhu. Mabao ya washindi yalifungwa na Goodluck Jonas dakika ya 51, Musa Maginga dakika ya 67 na Ramadhan Kiwelu dakika ya 70.
 
Iringa ilipoteza mechi zote mbili za kwanza dhidi ya Mwanza na Mjini Magharibi. Mbele ya Mwanza ilifungwa 3-1 wakati kwa Mjini Magharibi ikachezea kichapo cha mabao 3-0.
 
Katika mechi nyingine zilizochezwa asubuhi, Tabora iliichapa Shinyanga mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam. Mabao hayo yalifungwa na Said Juma na Ramadhan Mbalamwezi katika kila kipindi.
 
Nayo Ilala imepata pointi yake ya kwanza katika michuano hiyo baada ya kutoka suluhu na Kusini Pemba katika mechi ya kundi A iliyochezwa Uwanja wa Tanganyika Packers ulioko Kawe, Dar es Salaam. Mjini Kibaha mkoani Pwani kwenye Uwanja wa Tamco, Dodoma iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtwara.
 
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

TANZANIA ATHLETICS NEWS: CHRIS WILDE AAHIDI KURUDI TENA TANZANIA

Chris Wilde raia wa Marekani aliyekimbia kilometa 50 kuipa Tanzania zawadi ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ameahidi kurejea tena mwakani kukimbia kilometa 51 katika mbio za kutimiaza miaka 23 tangu kuanzishwa kwa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon 1991.

Wilde ambaye ni mganga msaidizi kutoka jimbo la Minnesota amekuwa mtu wa kwanza kukimbia kilometa 50 kusheherekea uhuru wa Tanganyika alipokimbia katika mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon jumapili tarehe 24 mjini Moshi.

Mbio hizo zilifanyika kuanzia Moshi Club hadi Rau madukani na kurudi. Chris Wilde alirudi mara 9 na nusu ili kutimiza kilometa 50 kama zawadi kwa nchi ya Tanzania.

“Naipenda sana Tanzania na ili kuidhihirishia dunia kuwa mlima Kilimanjaro uko Tanzania, nakimbia mbio hizi kama zawadi kwa Tanzania” alisema mzungu huyo mwenye umbo la mwariadha wakati anajiandaa kukimbia mbio hizo jumapili tarehe juni 24.

Wilde aliongozana na mwanariadha wa kimataifa mtanzania Nelson Brighton na ambaye anakwenda nchini Marekani mwezi ujao kushiriki katika mbio mbalimbali zilizoandaliwa kwa ufadhili wa Mt. Kilimanjaro Marathon 1991.

Kumiminika kwa wakimbiaji wa Kimarekani, Ulaya, Australia, Canada na Scandinavia katika mbio za Mt. Kilimanjaro marathon ni neema kubwa kwa taifa hili ambalo lina hazina kubwa sana ya wanamichezo wanaotakiwa kuendelezwa.

Chris Wilde aliungana na mcheza sinema maarufu wa Marekani Deidre Lorenz kushiriki katika mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon na kuzifanya kuwa mbio zinazovutia washiriki wa Kimataifa. Mt. Kilimanjaro Marathon zilianzishwa mwaka 1991 na Marie Frances kutoka Bethesda nchini Marekani.

Ni mbio zilizokwisha kupewa tuzo na majarida mbalimbali yanayoheshimika duniani kama vile Wonders of World ambalo lina wasomaji zaidi ya milioni 5 ambalo lilizipa nafasi ya pili wakati ambapo jarida linaloheshimika la Forbes lilizipa nafasi ya kwanza kama mbio zinazovutia.
Imetumwa na;
Grace Soka
Afisa Uhusiano
Mt. Kilimanjaro Marathon 1991

GLOBAL NEWS: YIT-SHAK SHAMIR AFARIKI DUNIA

Waziri Mkuu we Zamani wa Israel YIT-SHAK SHAMIR amefariki dunia mjini Tel Aviv akiwa na umri wa miaka 96.
 
Shamir alichaguliwa kuwa waziri mkuu mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa 1983, na mara nyingine 1986.  Alikuwa mtetezi wa makazi ya Wayahudi na alipinga mabadilishano ya maeneo na Wapalestina. Anatarajiwa kuzikwa sambamba na kaburi alilozikwa mke wake huko Jerusalem kesho Jumatatu.

GLOBAL NEWS: WATU 11 WAFA KIMBUNGA KIKALI MAREKANI

Karibu nyumba  milioni 4 na maeneo ya biashara yalikuwa hayana  umeme  jana huku kukiwa na joto kali , mashariki mwa Marekani baada ya dhoruba iliyoathiri mfumo wa nishati hiyo kuanzia maeneo ya jimbo  la  Indiana mpaka New Jeresey.
 
Takribani watu 11 wameripotiwa kufa. Hali ya hatari ilitangazwa katika maeneo mengine ya Ohio, Viriginia na West Virginia. Hatua hiyo inatokana na kutokea kwa kimbunga kikali kilichotokea usiku wa kuamkia jana. 

GLOBAL NEWS: HOLLANDE KUHALALISHA NDOA ZA JINSI MOJA NA WATOTO WA KUPANGA

Rais Mpya wa Ufarana Francois Hollande ameahidi katika kampeni yake kuhalalisha kuwa na mtoto wa kupanga kisheria pamoja na ndoa ya jinsia moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
 
Hakuna muda maalumu uliotolewa kwa ajili ya kuanza kutekelezwa kwa sheria hiyo. Kama sheria hiyo itapitishwa, Ufaransa itajiungana na mataifa mengine sita barani Ulaya ambapo ndoa za jinsia moja na kuwa na mtoto wa kupanga kunaruhusiwa. Kwa hivi sasa Ufaransa inaruhusu ndoa ya jinsia moja tu.

AFRICA NEWS: MURSI ALA KIAPO

Rais mteule wa Misri, Dk. Mohammad Morsi jana amekula kiapo cha urais mbele ya Mahakama Kuu ya Katiba ya nchi hiyo.

Katika sherehe hizo Muhammad Mursi ameapa kwa jina la Mwenyezi Mungu Mtukufu kwamba, atalilinda taifa, kuheshimu katiba, sheria za nchi yake sambamba na kulinda maslahi ya taifa la Misri. Amesema kuwa, leo taifa la Misri linashuhudia maisha mapya na kwamba uhuru na demokrasia vinaanza kufanya kazi.
Kwa upande wake Jaji Mkuu wa Misri Faruq Sultan amemtakia rais huyo mteule mafanikio katika harakati za kulijenga taifa hilo. Hapo jana Mursi alikula kiapo mbele ya makumi ya maelfu ya watu katika Medani ya Tahrir hatua ambayo awali ilipingwa vikali na Baraza la Kijeshi la nchi hiyo.

EURO 2012 NEWS: KIVUMBI NA JASHO SPAIN Vs ITALY

UEFA Euro 2012 Final Preview : Spain v Italy

SPAIN

V

ITALY

Olympic Stadium, Kyiv
Sunday, July 1, 2012; 18:45 Hrs GMT
****
.
When Italy and Spain played out an enthralling 1-1 draw in their opening group game, Spanish media picked their opponents as the team they are likely to face in final. They were proved right as the Azzurris dished out an almost spotless performance to knock out overwhelming favourites Germany in semi-final to set up the grand finale against La Furia Roja. If the group league game is anything to go by,  we can have a classic match on our hands on Sunday.

SPAIN
Possible Starting XI (4-6-0): Casillas; Arbeloa, Pique, Ramos, Alba; Iniesta, Xavi, Busquets, Alonso, Fabregas, Silva.

ITALY
Possible Starting XI (4-3-1-2): Buffon; Abate, Bonucci, Barzagli, Chiellini; De Rossi, Marchisio, Pirlo; Montolivo; Balotelli, Cassano

Key Facts

  • Spain has never defeated Italy in regulation time in a major tournament.
  • Spain has enjoyed 66.8% average possession in their matches, Italy 53.2%
  • Italy leads the tally for shots on goal with 99 against Spain’s 87 but the latter with 36 shots, has 6 more shots on target.
  • Italy has not trailed for a single minute in Euro 2012.
     
     

    Players to watch out for

    Spain – Iniesta, Xavi, Fabregas, Xabi
    Italy – Pirlo, De Rossi, Balotelli, Cassano



Mario Balotelli Monster Italy

Mario Balotelli - UEFA EURO 2012 - Matchday 3 - Pictures Of The Day