Jumapili tarehe 29.05 Mcheza mpira maarufu Samuel Eto'o alitembele jumuiya ya wanafunzi wa kiafrika wanaosoma chuo cha Urafiki Urusi. Eto'o alikua ni mgeni rasmi katika fainali za mpira wa miguu kwa nchi za kiafrika chuoni hapo.

Timu zilizoingia fainali Guinea (wenye nyeusi) na Guinea Ecuatorial (wenye nyekundu). Ambapo Guinea iliibuka kidedea kwa penalty
Hapa wanafunzi kutoka cameroon wakiimba nyimbo za kwao, ikabidi na yeye anyanyuke akumbuke nyumbani kidogo. Eto'o aliejifunga sweta shingoni
Eto'o akiingia kwenye gari kuondoka
Eto'o kwa sasa anachezea timu ya Anzhi Moscow Russia,ambapo analipwa 990m Tzshs kwa wiki.Na ni mchezaji anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote duniani. 
No comments:
Post a Comment