Wednesday, April 25, 2012

Haya jibu la high heels limepatikana


Madaktari wamegundua tiba inayoweza kumfanya mwanamke aweze kuvaa viatu vyenye mchuchumio "high heels" bila kusikia maumivu.Huduma hiyo 'Toe job" inagharimu £320 ambayo ni sawa na laki 7.3 tsh. Toe job inachukua muda wa dakika 20 kukamilika, na hudumu kwa muda wa miezi sita.
Hapo sasa, Boob job, Lip job, Butt job na sasa Toe Job imeingia...kazi ipo.

No comments:

Post a Comment