Sunday, April 29, 2012

Huyu ndie mwanamuziki anayebamba zaidi kwa sasa...


             Armando Christian Pérez aka Pibull alipokua mdogo
                                                            Alivyo sasa
Huyu jamaa anapenda sana kuvaa suti. Video zake karibia zote utaona amevaa suti, na amenyoa kipara. Origin yake ni Cuba, na amezaliwa tarehe 15 january 1981.
                                                  Back in Time- Pitbull
Hii ni video mpya ya wimbo wa  Back In Time ambao  ni soundtrack ya movie mpya ya Men in black no3 inayotarajiwa kuanza kuonyeshwa tarehe 25 May. Kwenye hii movie tarajia kuwaona Will Smith, Lady gaga, Justin Bieber, Nicole Scherzinger na wengine wengi.

No comments:

Post a Comment