angelina jolie aliibuka kwenye 84th annual academy awards kavaa gauni lenye mpasuo mrefu ambao uliweza kuonesha mguu na paja lake ipasavyo kwa kitanzania ni mpasuo unaoitwa "siogopi mama wala baba" yani this woman stole the show kisawa sawa mpaka wamemtunga jina wanamwita leggy lady for me its shocking as i dnt see the reason of people kuzungumzia huo mpasuo kwenye all sourcess of media
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment