Mtandao wa mediatakeout umeandika kua Mwanamuziki Chris Brown anaweza kwenda jela kwa Miaka 5 kwa kosa la kumnyang'anya simu msichana aitwaye Christal Spam. Christal ameeleza kua yeye na marafiki zake walikua wanamfatilia Chris na kumpiga picha wakati anatoka club. Inasemekana Chris alimnya'nganya Simu Christal ili asiweze kuziweka picha hizo kwenye websites. God, sijui hizi habari ni za kweli!!?Crossing my fingers, Hope it's not true.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment