Tuesday, January 31, 2012

Mmetupa raha sana Twiga stars....



 Kikosi cha Twiga Stars......So proud of these women..Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Twiga Stars.
Imefika wakati serikali yetu izidi kuboresha soka kwa wanawake nchini mwetu. kwa maana ni ukweli kwamba hii timu inatuwakilisha vyema na kuipa sifa nchi yetu. 
Picha asante issamichuzi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment