Katy Perry na Russell Brand walioana October 2010 na wameamua kuachana january 2012. Katy Perry ameamua kumfuta Russel katika followers wake in twitter baada ya talaka yao.
Heidi Klum and Seal wana 8 years of marriage, four Children, ila wameachana mwaka huu. KISA? Heidi ameshindwa kumvumilia Seal, kwa sababu hawezi kucontrol Temper yake. Seal ameeleza kua, ataendelea kuvaa Pete yake ya ndoa, kama heshima na upendo aliokua nao kwa aliyekua mke wake.

No comments:
Post a Comment