Monday, January 16, 2012
Matumizi ya Bicarbonate of Soda (Unga wa Soda) kwenye usafi.
Bicarbonate of Soda mbali ya kutumika kwenye mapishi, inaweza kutumika kwa ajili ya usafi mbalimbali. Kwa mfano kwa ajili ya kusafishia tiles, sink la mikono, Bath tube na choo. Nyunyiza bicarbonate of soda katika sink au sehemu unayotaka kusafisha, changanya na sabuni ya unga. Baada ya dakika 5 mimina cocacola kidogo, chukua mao lifunge na steel wire usugue vizuri. Kisha mwagia maji safi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment