Wednesday, March 28, 2012

wanasema age is nothing but a number eehh.....

Morgan Freeman
 E’Dena Hines (mjukuu anaedaiwa kuwa na mahusiano na Morgan),katikati ni  Myrna Colley-Lee (aliekuwa mke wa Morgan) na  Morgan kabla ya talaka.
E’Dena Hines na Morgan "kwa lugha nyingine maharusi watarajiwa".... lol
Inasemekana muigizaji wa siku nyingi Morgan Freeman mwenye miaka 75 anatarajia kumuoa mjukuu wake wa kambo  E’Dena Hines 30 (mjukuu wa aliekuwa mke wake wa kwanza Juanette Adair Bradshaw,kwa mtoto aliezaa kabla ya kuolewa na Morgan). Morgan baada ya kuachana na mkewe huyo alimuoa Myrna Colley-Lee mwaka 1984 ambae nae aliachana nae 2008 baada ya skendo za Morgan kua na mahusiano na E'Dena. By the way hii habari ni ya muda mrefu, sijui why wameirudisha mitandaoni kwa sasa. Au vikao vya harusi ndio vinaanza!!!??
    Kama humjui Morgan Freeman unaweza kuangalia movies zake kama Along came the spider 2001, Bruce Almighty 2003, Nurse Betty 2000 . The guy is good in acting....ila hili swala la kuoa mjukuu wake hata kama si kwa mtoto wake wa kumzaa mhhhhhh...........
   

No comments:

Post a Comment