Saturday, March 24, 2012

Mashindano ya Mister Africa in People's Friendship University of Russia

                   Mshiriki kutoka Gabona alikuja kwa style hii
   Guinea Ecuatorial waliwakilishwa hivi, by the way huyu jamaa alikua 
na pozi  za "kisharobaro"  mnoo hapo jukwaani
Visiwa vya Shelisheli (Seychelles) nao walikuwepo, hivi ndivyo walivyowakilishwa
Jamaa kutoka Kisiwa cha Sao Tome, huyu kaka anajua kuipamba nchi yake aisee
Kuna waliokuja kwa mwendo huu, shurti mtu kabebwa,hapana chezea Ivory Coast
Mshiriki kutoka Nigeria, Tuliimbishwa "Umofia Kwenu" ukumbi mzima 
Kwa mara ya kwanza kwa historia ya Umoja wa nchi za Africa chuo kikuu cha Urafiki zamani "Lumumba" Umeendesha mashindano ya kumtafuta "Mr.Africa".Too bad Video Camera haikuwepo kuwaletea matukio yalivyokua. Mwisho wa siku mshindi wa kwanza alitoka Nigeria, wa pili kutoka Ivory Coast na wa tatu Sao Tome.

No comments:

Post a Comment