Monday, March 26, 2012

Malavidavi si kwenye Movie tu hadi kwenye real life..!!

 Inasemekana movie stars  Robert Pattinson na Kristen Stewart wana uhusiano wa kimapenzi nje ya movie wanayoigiza  pamoja ya The Twilight. Lakini waigizaji hao hawako tayari kuuzungumzia uhusiano wao. 

Robert na Christen wakiwa wamekaa seat za nyuma ya gari wakijificha kuepuka mapaparazzi.
Kama bado hujaona series hizo za  Twilight  jaribu kutafuta copy yako ujionee, ziko nne tu mpaka sasa.

No comments:

Post a Comment