skip to main |
skip to sidebar
EURO 2012 NEWS: ANDRY AITABIRIA MAZURI UKRAINE
ANDRY Shevchenko Nyota wa Timu ya Taifa ya Ukraine amesema Timu yake itaweza kufika katika Fainali za Michuano ya EURO 2012 itakayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Juni 8.
"If we show our quality and have a bit of luck, we can reach the final," Shevchenko told reporters.I understand that will be extremely difficult but you only get one chance to make history." Ukraine itaanza Kampenizake Jumatatu ya Juni 11 dhidi ya Sweden
No comments:
Post a Comment