Monday, June 4, 2012

GLOBA FOOTBALL NEWS: GAUCHO ATUA MINEIRO


KLABU ya Atletico Mineiro imetangaza kumchukua Nyota Ronadinho Gaucho,
 Ronaldinho anatua Mineiro akitokea Flamengo.

"We are happy to announce we have managed to bring Ronaldinhoto Atletico," said his new club president Alexandre Kalil on the team website after netting the 32-year-old former Barcelona and Milan player.
Pele ametetea uamuzi wa Ronaldiho kutua Mineiro kwa kusema Gaucho sio yule wa miaka 10 iliyopita nab ado ana kipaji , Flamengo kwa msimu huu haijafanya vizuri lakini kwa Gaucho hali ni nzuri zaidi

No comments:

Post a Comment