Saturday, April 7, 2012

This is what Kanumba wrote in his blog kabla ya kifo chake

Kwenye blog yake ya Kanumbathegreat, tar 6.april.2012 post ya mwisho aliyoweka kwenye blog yake, saa 12.01am Kanumba aliandika kuhusu mchango wake katika Tanzania Mitindo House, na hiki nicho aichoandika 

 "TULIOSAPOTI MPAKA KITUO HIKI KUFIKIA HAPA KILIPO SOMA MAJINA HAPO JUU JINA LANGU LIPO HAPO,KUSEMA UKWELI INAPOKUJA MAMBO YA KUSAIDIA JAMII NAJITAIDI KUTOA NINACHOKUA NACHO MAANA HAPA HUKUMBUKA MANENO YA MWANDISHI ALBERT PINE..''"What we do for ourselves dies with us. What we do for others and the world remains and is immortal."
 Kanumba amefariki usiku wa kuamkia leo tar 7.april.2012 nyumbani kwake Sinza Vatican. Rest In Peace Steven Kanumba. Mchango wako katika sanaa na hata maendeleo mengine ya kijamii utakumbukwa daima. Kiukweli haya maneno yake yamenigusa mnoo, sijui wewe mwenzangu.Fikiria, chukua hatua

No comments:

Post a Comment