Monday, April 9, 2012

New Video ya Drake ft Rihanna-Take Care

Drake nae baada ya kuona track aliyoshirikishwa na Rihanna ya "whats my name" imebamba mnoo.Sasa nae ameamua kumshirikisha Riri kwenye wimbo wake huu wa "Take Care". And humu ndani pia kuna mkono wa Timberland.

No comments:

Post a Comment