Monday, April 30, 2012

The Visit of Eto'o in People's Friendship University of Russia

Jumapili  tarehe 29.05 Mcheza mpira maarufu Samuel Eto'o alitembele jumuiya ya wanafunzi wa kiafrika wanaosoma chuo cha Urafiki Urusi. Eto'o alikua ni mgeni rasmi katika fainali za mpira wa miguu kwa nchi za kiafrika chuoni hapo.
Alipokua anaingia..(ulinzi ulikua mkali kiasi kwamba ikawa vigumu kupata picha)
Hapa akisalimiana na wasichana waliochaguliwa maalumu kumpokea "kitenge was the dress code"..Stephhh i see u baby  
Timu zilizoingia fainali Guinea (wenye nyeusi) na Guinea Ecuatorial (wenye nyekundu). Ambapo Guinea iliibuka kidedea kwa penalty
Hapa wanafunzi kutoka cameroon  wakiimba nyimbo za kwao, ikabidi na yeye anyanyuke akumbuke nyumbani kidogo. Eto'o aliejifunga sweta  shingoniEto'o akiingia kwenye gari kuondoka
Eto'o kwa sasa anachezea timu ya Anzhi Moscow Russia,ambapo analipwa 990m Tzshs kwa wiki.Na ni mchezaji anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote duniani.   

April R.A.K. Wrap Up


I LOVE R.A.K! I love receiving and sending out books. I get super excited to do both! Before I sign up, I try to make sure there is SOMETHING that I can send to someone even if they're just bookmarks.

This month, I did not receive any books. However, I did manage to send out one book and three bookmarks.

I sent Angelina's Bachelors by Brian O'Reilly to Mary from Sweeping Me.


I sent Descended by Blood bookmark to Pragya from Reviewing Shelf.


I sent bookmarks by Rosemary Clement-Moore and Cecilia Grant to Jana from Infinity.

 

April was a great month for kindness :) How big is your R.A.K.?

Decoy Giveaway Winner


The winners have been notified. If they do not reply by May 1, 2012, a new winner will be randomly chosen.

Congratulations to the winners!