Ajali mbaya sana ya ndege imetokea huko nigeria mjini lagos. ndege hiyo inasemekana imeuwa watu 153 on board ambapo ajali ilisababishwa na ndege hiyo kugonga moja ya jumba refu huko mjini lagos.chanzo cha ndege hiyo kugonga hilo jengo bado haijajulikana na mapolisi wa usalama bado wanaendelea kuchunguza zaidi. mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi Ameen
Monday, June 4, 2012
A PLANE CRASH IN LAGOS-NIGERIA
Ajali mbaya sana ya ndege imetokea huko nigeria mjini lagos. ndege hiyo inasemekana imeuwa watu 153 on board ambapo ajali ilisababishwa na ndege hiyo kugonga moja ya jumba refu huko mjini lagos.chanzo cha ndege hiyo kugonga hilo jengo bado haijajulikana na mapolisi wa usalama bado wanaendelea kuchunguza zaidi. mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi Ameen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment