KATIKA PICHA MAMBO YALIVYOKWENDA KATIKA HOSPITALI YA META JIJINI MBEYA
T-SHIRT ZILIZOTOLEWA NA BENKI YA POSTA
MENEJA WA BENKI YA POSTA MBEYA HUMPHREY JULIUS AKIENDELEA KUTOA UFAFANUZI WA MSAADA HUO NA WAPOKEAJI WAKIMSIKILIZA
KUNDAELI SARIA , AFISA UTUMISHI MPANGO WA DAMU SALAMA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI AKITOA MAELEZO KUHUSU MPANGO HUO KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO JUNI 14, 2012 OFISI KWAKE
PICHA YA PAMOJA NJE YA JENGO LA KITENGO HICHO KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LILIOPO NDANI YA HOSPITALI YA META.
No comments:
Post a Comment