Friday, June 8, 2012

MBEYA UPDATE: KICHANGA CHATUPWA KWENYE DAMPO LA TAKA SOWETO KARIBU NA SOKO LA CCM


Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo ktazama kichanga hicho ambapo Mama  Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.
Picha na Allt Kingo-Mbeya Yetu


No comments:

Post a Comment