Baada ya kutoka na On the Floor track aliyomshirikisha Pitbull, JLO ameamua kutoa wimbo mwingine akimshirikisha Pitbull inayoenda kwa jina la Dance Again. Hii collabo si ya kukosa kuisikiliza...maana JLO hua habahatishi, na Pitbull ndio kabisaaa...and the video is howttttt.Tuianze weekend yetu hivi basi. Enjoy!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment