69records mid season inarudi tena, kutokana na ukimya mwingi baada ya season one 69records kuisha sasa team nzima ya 69records wapo kambini kwa kuiandaa na kuipika season two ya 69recods huku baadhi ya wasanii wapya wakiongezeka kwenye team nzima ya 69 wakiwamo qeen,husna, hemedi na wengine wengi.. kaa teyari kwa seanson two 69records ndani ya Clouds TV
Friday, April 6, 2012
69 records mid season coming soon stay tuned!!!!!!!!
69records mid season inarudi tena, kutokana na ukimya mwingi baada ya season one 69records kuisha sasa team nzima ya 69records wapo kambini kwa kuiandaa na kuipika season two ya 69recods huku baadhi ya wasanii wapya wakiongezeka kwenye team nzima ya 69 wakiwamo qeen,husna, hemedi na wengine wengi.. kaa teyari kwa seanson two 69records ndani ya Clouds TV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment