Monday, June 4, 2012

TANZANIA SOCIAL NEWS: SIKU YA MAZINGIRA


Tanzania Bara inaadhimishwa kitaifa Moshi mkoani Kilimanjaro na Mgeni Rasmi ni Rais JAKAYA Kikwete.
 Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.

No comments:

Post a Comment