Tuesday, June 5, 2012

TANZANIA BOXING NEWS: NASSIBU NA MAJIA KUPAMBANA JUNI 9 DAR

Mabondia Nassibu Ramadhani na mpinzani  wake Fadhili Majia Ijumaa  tarehe 08-06-2012ktk ukumbi wa Friends Corner ulioko Manzese jjini Dar-es-salaam watapima uzito kwa ajili ya pambano lao la kuwania ubingwa wa taifa unaotambuliwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania [TPBO] litakalofanyika tarehe 09-06-2012 ktk ukumbi huo wa Friends Corner mabondia hao wanachezea ubingwa wa super fly  [52 .8] katika pambano la raundi 10.
Maandalizi yamekwenda vizuri na kwa bahati nzuri kampuni ya KITWE GENERAL TRADERS wamejitokeza kuwa wadhamini wa pambano ktk baadhi ya maeneo hivyo tunawaomba wakurugenzi wa makampuni mbalimbali kujitokeza kudhamini pambano hili linalohusisha mabondia chipukizi wenye uwezo mkubwa katika ngumi za kulipwa ,kwani kuandaa mapambano ya ngumi bila wadhamini .

No comments:

Post a Comment