Tuesday, June 5, 2012

TANZANIA BOXING NEWS: AURORA AZIKWA LEO


MDAU maarufu wa michezo na promota wa ngumi za kulipwa Tanzania, Ally Suleiman 'Aurora' (pichani) amefariki dunia, imefahamika.
Habari ziliziopatikana jijini le zinaeleza kwamba Aurora ambaye amezikwa mchana wa leo, alikutwa na umauti hui jana katika hospitali ya Muhimbili alipolazwa chumba cha uangalizi maalum (ICU) kutokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari

No comments:

Post a Comment