Friday, June 8, 2012

MBEYA UPDATE: DR. NYANDA APATA MTOTO WA KIKE


DAKTARI Elias Nyanda wa Hospitali ya Rufaa miongoni mwa wananchama wa Friendes on Friday leo mchana amepata motto wa kike kutoka kwa kipenzi chake Carol.

Carol amejifungulia katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam ambako hadi hivi sasa Chanzo chetu kinasema anaendelea vizuri baada ya miezi 9 ya uchovu wenye Baraka. Blogu ya JAIZMELALEO inatoa Pole na Hongera kwa Familia ya Daktari Nyanda.

MUNGU AWE NASI SOTE

No comments:

Post a Comment