Monday, June 4, 2012

LEO KATIKA HISTORIA: SIKU YA MAZINGIRA DUNUIANI


5 Juni 1972, lilifanyika kongamano la kwanza la mazingira huko Stockholm nchini Sweden.
Kongamano hilo liliwashirikisha wawakilishi 1300 kutoka nchi 113 duniani likiwa na kauli mbiu isemayo 'Kuna Ardhi Moja tu'. Miongoni mwa malengo makuu ya kongamano hilo yalikuwa ni kuwekwa mikakati ya kujenga makaazi ya raia kwa kuzingatia ulindaji mazingira, kuainisha na kudhibiti mada haribifu kwa mazingira na kuhifadhi mazingira kwa ajili ya vizazi vya baadaye.

No comments:

Post a Comment