Wednesday, June 6, 2012

GLOBAL NEWS: HABARI MPASUKO- WA-AFGHAN 11 WAUAWA


MAAFISA wa Polisi nchini Afghanistan wamesema watu 17 wamefariki dunia katika shambulio la Marekani kwa raia hao wasio na hatia eneo la Logar.

Maafisa hao wameongeza kusea wengine 22 wamejruhiwa katika shambulio hilo la bomu lililofanywa na na Marekani usiku wa kuamkia leo.
Logar ipo kusini mwa Jimbo la Kandahar nchini humo.

No comments:

Post a Comment