Thursday, June 7, 2012

GLOBAL NEWS: CHADEMA WASHINGTON LAPATA MWANACHAMA MPYA

Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe wakimkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa CHADEMA mwanachama mpya ambaye ni mwana mitindo Linda Bezuidenhout (LB) katika ofisi ya tawi la Chadema Washington DC.

No comments:

Post a Comment