Friday, June 8, 2012

EURO 2012 NEWS: POLAND YATOKA SARE, SZCZESNY ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU


 ROBERT LEWANDOWISKI
 DIMITRIOS SALPINGIDIS
 TYTON






Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu hatimaye pazia la kinyang'anyiro cha kombe la mataifa ya bara la Ulaya limefunguliwa na Mwenyeji wa Michuano ya Mataifa ya Ulaya Poland akitoka sare ya 1-1 katika mechi ya ufunguzi ya michuano hiyo na Ugiriki.

Mechi hiyo ya Ufunguzi ilikuwa ngumu kwa pande zote kukishuhudiwa kosa kosa za kila timu . Ugiriki walipata penati lakini Mlinda Mlango Tyton aliyeingia mbadala wa Szczesny. Mabao yalifungwa na  Scoring Summary

Poland
Greece

Giorgos Karagounis (pen miss 71')



No comments:

Post a Comment