Wednesday, June 6, 2012

EURO 2012 NEWS: ARBELOA ASEMA HAKUNA UHASAMA BAINA YA BARCELONA NA REAL MADRID


Kocha wa Timu ya Taifa ya Hispania Vicente Del Bosque amethibitisha uhasama uliopo kati ya wachezaji wa Barcelona na Real Madrid katika timu hiyo.

Del Bosque amesema Sergio Ramos (Real Madrid), Gerrad Pique  (Barcelona) na Xavi (Barcelona) hawana uhusiano mzuri miongoni mwao hasa Ramos na Pique.

Lakini Mchezaji wa safu ya Ulinzi wa klabu ya Real Madrid aliyeitwa kwenye kikosi cha Del Bosque amesisitiza uhasama huo umewekwa pembeni kwani wote wana lengo moja la kutwaa tena ubingwa wa mataifa ya Ulaya.

“The relationship between the players is good, We know how to draw the line between club and country. We all have the same goal, which is to get to the final and win the European Championship.Obviously if people do have their differences they will have to be resolved, but right now the atmosphere is good.”

No comments:

Post a Comment